Habari za Punde

ONYESHO LA MAGARI KUFANYIKA DAR OKTOBA 3-4

Jamani ni onyesho la magari kama ilivyo kwa nchini nyingine mjitokeze kujionea magari ya kisasa zaidi.Mkurugenzi wa Onyesho la 2 la magari, Ally Nchahaga (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu onyesho hilo linalotarajia kufanyika nchini kwa mara ya pili kuanzia Oktoba 3 hadi 4 mwaka huu. Kulia ni msimamizi wa onyesho hilo, Jackson Ngumba. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.