Habari za Punde

SERENGETI YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA JESHI LA POLISI MKOA WA TEMEKE

Ninyi ni Majrijani zetu hivyo tunadumisha ujirani mwema, michezo kwa afya......Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (katikati) akimkabidhi vifaa vya michezo, Jezi na mipira, Mkuu wa Polisi Wa Wialaya ya Temeke, Lebaratus Sabas, ikiwa ni moja ya kuendeleza michezao katika majeshi ya Polisi. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi za Kituo cha Polisi Chang'ombe Dar es Salaam leo mchana. Kushoto ni Ofisa wa Piliso wa Kituo hicho, Maselino Luambano. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.