Habari za Punde

Kama wanajiamini waache waje asasa wakione cha moto...............Askari Polisi wakiranda katika mitaa ya jijini Dar es Samaam leo mchana, kuhakikisha wanachama wa Chama cha wananchi CUF, hawakatizi mitaa hiyo kuelekea kwenye Ofisi za Msajiri wa Vyama kama walivyokuwa wamepanga, (katikati) ni gari la maji ya kuwasha nalo likiwa tayari iwapo wanachama hao wangekiuka amri ya kutofika katika ofisi hizo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.