Habari za Punde

CUF waandamana Dar kushinikiza Msajiri wa Vyama kujiuzulu

Maandamano ya amani, Haki ni lazima...........tunataka ajiuzulu mweeeenyewe.........

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Ibrahim Lipumba, (katikati) akiongoza maandamano ya amani ya wanachama wake, ikiwa ni njia ya kumshinikiza msajiri wa Vyama vya siasa kujiuzulu. Maandamano hayo yalifanyika kuanzia Buguruni Sheri na kuishia kwenye Viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.