Habari za Punde

WANAFUNZI WA KIBASILA WAFUNGA BARABA DAR *Washinikiza kujengwa matuta katika barabara ya Mandela na Chang'ombe

Hapa hadi kielelweke tutatoka hapa baada ya kuwaona mafundi wakianza kazi......Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kibasikla wakicheza karata katikati ya barabara mbele ya shule yao, wakishinikiza kuwekewa taa za kuongozea magari na Matuta katika barabara ya Mandela na Chang'ombe, baada ya kugongwa kwa wanafunzi wenzao leo asubuhi. Picha na (SPM)
Wanafunzi wakizuia gari la wagonjwa la jeshi huku wakichungulia katika gari hilo kama kuna mgonjwa.
Hapa hupiti hatakama we ni Mjeda hatuogopi leo kwanza hauna mgonjwa humo.....

Mwanafunzi wa kike akicheza sebene juu ya gari la Jeshi wakati walipolizuia kupita kuonyesha msisitizo kuwa haruhusiwi kupita mtu wala gari lolote katika barabara hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.