Habari za Punde

MASHINDANO YA KIMATAIFA YA NETIBOLI YAZINDULIWA DAR

Mfanye kama nilivyokuwa nikifanya mie wakati nilipokuwa nawakilisha timu ya Mkoa wa lindi katika netiboli enzi zangu eeeeh!Mama Salma Kikwete, akirusha mpira kwa Nahodha wa timu ya Netiboli ya Tanzania, Jaucyline Sikozi, ikiwa ni ishala ya uzinduzi wa mashindano ya Kimataifa ya mchezo huo yaliyoanza jana jijini Dar es Salaam kati ya Tanzania na Lethoto. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.