Habari za Punde

WAREMBO WACHUANA KUWANIA TAJI LA KIPAJI, Miss Morogoro awapagawisha mapedezyee ukumbini

Ehee, bado endelea kumwaga hiyo mihela bado madoalari, ...na mie naendelea kuwapagawisha tuu hadi waleti zao zibaki tupu................Miss Morogoro, Torry Oscar, akisebeneka na Taarab ya Mwanamke Hulka, huku mapedezyee wakishindwa kuvumilia na kumtunza bila kikomo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.