Habari za Punde

MAMBO YAIVA MISS UTALII ILALA WADHAMINI KIBAO WAJITOKEZA

Tupo Bomba na tunalipa karibuni siku hiyo mjionee shoo ya kufa mtu.......Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani Novemba 11, kuwani taji la Miss Utalii Ilala, wakipozi katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo mchana. Picha na (SPM)

Si mnawachek jamani ni warembo bomba naamini Miss Utalii Taifa atatoka kati ya hawa....Mratibu wa shindano la Miss Utalii Ilala, Amina Boka, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano hilo linalotarajia kufanyika Novemba 6, mwaka huu. Kulia ni Ofisa habari wa miss Utalii, Hamees Suba na (kushoto) ni Meneja wa Kampuni ya Chicken Hot, ambaye ni miongoni mwa wadhamini wa shindano hilo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.