Habari za Punde

tiGo WAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA UHAMIAJI

Tunadumisha urafiki na michezo kwa Idara za Serikali, Kombe la SHIMIWI ni lenu.......Ofisa Habari wa Kampuni ya simu za mkononi, Tigo, Jackson Mmbando (kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo Kamishna wa Uhamiaji Tanzania, anayeshughulikia masuala ya Sheria, Magnus ulungi, kwa ajili ya timu ya Idara ya Uhamiaji inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI. Kulia ni Kamishna wa vibari kwa wageni, Barick Shayo, makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.