
Baadhi ya raia wa Msumbiji waishio nchini, wakiwa kwenye ofisi za Balozi za Mocambique Mtaa wa Ohio leo, wakisubiri kupiga kura kumchagua Rais wa nchi yao katika uchaguzi unaofanyika nchini kwao leo. Picha Zote na (SPM)
Chi unaona mikono yangu hii? ukimaliza kupiga kura weka wino katika kidole chako cha shahada, sawa.....
Msimamizi wa Kituo cha kupigia kura, Antonio Gabriel Munda (kulia) akitoa maelekezo ya jinsi ya kupiga kura kuchagua Rais wa Msumbiji, kwa raia wan chi hiyo aishie nchini, Severine Jackob Mwitikile, wakati wa zoezi hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na (SPM)
Mpaka tumchagui rais wetu tunaimpenda bwana hata kama tupu Dar...., mpakikieleweke...
Baadhi wa raia wa Msumbuji waishio jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye foleni ya kusuburi kupiga kura kuchagua Rais wa nchi yao, wakati wa zoezi hilo lililofanyika jijini leo asubuhi na nchini humo kwa pamoja. Picha na (SPM)
Raia wa Msumbiji akiwa katika foleni kusubiri kupiga kura kumchagua rais wa nchi yao leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment