Habari za Punde

VODACOM YAPATA WASHINDI WA DROO YA M-PESA WALIOCHANGIA TIMU ZA YANGA NA SIMBA

Meneja wa Promosheni na Matukio wa kampuni ya Vodacom, Rukia Mtingwa, akibonyeza kitufye cha laptop kuchezesha droo ya kutafuta washindi waliojinyakulia tiketi ya VIP kushuhudia mchezo kati ya mahasimu wawili wa Yanga na Simba, utakaochezwa jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Picha na (SPM)

Meneja Udhamini wa Kampuni ya Vodacom, Emillian Rwejuna, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati wa hafla ya kuchezesha Droo ya kupata washindi wa bahati nasibu ya kuchangia timu za Yanga na Simba, kupitia M-Pesa watakaojipatia tiketi za VIP, za kuingia kwenye Uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo wa watani wa jadi, unaotarajia kuchezwa jumamosi. Kushoto ni Meneja Mauzo wa M- Pesa, Patrick Masumba. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.