Mwandishi wa michezo wa gazeti la The African, Mwani Nyangasa (katikati) akibonyeza kitufe cha kompyuta ya Laptop kuchezesha droo ya kumtafuta mshindi wa promosheni ya 'Fungua Jiunge na Ushinde', inayoendeshwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Kutoka kushoto ni mwakilishi kutoka TFF, Salum Madadi, Mkuu wa Idara ya Masoko wa benki hiyo, Abdallah Singano na Mkuu wa idara ya mauzo, huduma na bidhaa wa benk hiyo, Lilian Kitoman (kulia) na Msimamizi wa michezo ya Bahati Nasibu Taifa, Mrisho Mlao.Picha na (SPM)
Senegal na Morocco Kukutana Fainali AFCON 2025 Bila Nyota Wao
-
Miamba miwili inayotikisa viwango vya FIFA barani Afrika, *Senegal* na
*Morocco*, itachuana kwenye fainali ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 bila
ya ...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment