Habari za Punde

WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI AFANYA MAZUNGUMZO NA TIM CLARKE

Je ni wapi katika maeneo hayo tunaweza kushirikiana Afrika Mashariki na nchi za Ulaya?Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Diodorus Kamala (kushoto) akizungumza na Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini (EU), Balozi Tim Clarke, wakati alipofanya mazungumzo naye leo asubuhi na kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Afrika Mashariki na Muungano wan chi za Ulaya na maeneo ambayo wanaweza kushirikiana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.