Habari za Punde

VODACOM YATIMIZA WATEJA MILIONI MOJA WA M-PESA

Huduma hii sasa imeshakamata kwa sasa tunawateha milioni 1.....Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Simu za mkononi, Vodacom Ephraem Mafuru (katikati), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu idadi ya wateja waliofikia milioni 1, katika huduma ya M-Pesa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Wateja Vodacom, Mwamvita Makamba (kulia) ni Mkuu wa Idara ya M-Pesa, Frankline Mbagala. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.