Habari za Punde

SHULE ZA BWENI NA VYUO KUPATA SAMAKI WA MAGHUFULI BURE

Hawa samaki waniiti hasara Serikali sasa watapelekwa kwenye mashule ya bweni na Vyuo vikuu bure....Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, (kushoto) akizungumza na waanddishi wa habari mjini Dodoma leo, kuhusu mpango wa Serikali wa kugawa samaki waliokamatwa katika meli ya uvuvi ambapo Serikali imepanga kuwagawa katika shule za bweni na Vyuo Vikuu. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.