Habari za Punde

MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH KUIBUKA NA KITITA CHA SH.MILIONI 25

Nani kuwa Mshindi wa Bongo Star Search?.......Washiriki wanne kati ya watano waliofanikiwa kuingia katika hatua ya Fainali za shindano la Bongo Star Search, kutoka (kushoto) Beatrice William, Jackson George, Pascar Kasian na Kelvin Mbati, wakiimba kwa pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, walipokuwa wakitambulishwa na kutangazwa zawadi za washiriki. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.