Habari za Punde

RAIS JAKAYA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mambo haya hayakuwepo siku za nyuma wacha tufuate sheria........, na raia wa jijini Dar nawashauri mjiandikishe katika daftari hili, msipoteze haki zenu .......Rais Jakaya Kikwete, akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge, Kata ya Kivukoni, jijini Dar sa Salaam leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.