Habari za Punde

SIMBA YAENDELEZA UBABE, YACHEKELEA DAKIKA ZA MAJERUHI

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, akichuana na beki wa Moro United, Oscar Joshua, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini. Simba ilishinda 2-1. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.