Habari za Punde

MIRIAM ATWAA TAJI LA VODACOM MISS TANZANIA 2009

Vodacom Miss Tanzania 2009, 2010, Miriam Gerard (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili, Beatrice Lukindo (kulia) na Sia Ndasikoi, mara baada ya kutangazwa washindi katika shindano la kuwania taji hilo, lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa mlimani City, Dar es Salaam. Picha na (SPM)


Warembo watano walibahatika kuingia katika hatua ya tano bora, wakipozi kwa picha wakati wa shindano hilo. Picha na (SPM)


Washiriki wa shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2009, wakipita jukwaani na Vazi la ufukweni wakati wa shindano hilo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.