Habari za Punde

WASHIRIKI WA VODACOM MISS TANZANIA, WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Zawadi hii ni haki yako.................Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Vodacom, Bob Collymore (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 9, Vodacom Miss Tanzania, 2009, Miriam Gerard, wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa warembo walioshiriki shindano hilo, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View juzi. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.