Habari za Punde

MAAFALI YA SHULE YA VALENTINE ELITE ACADEMY YAFANA DAR

Hongera sana...... Mkurugenzi wa Shule ya Valentine Elite Academmy, Hilda Mziray (kushoto) akimkabidhi cheti cha kuhitimu elimu ya Msingi, mmoja kati ya wanafunzi waliohitimu katika shule hiyo, Dyana Mareale, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Mbezi Beach Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)
Dyana Mareale (kushoto), akipongezwa na mwakilishi wa familia yake wakati wa hafla hiyo.

Hawa ni baadhi ya wahitimu wa elimu ya msingi wakisubiri kutunukiwa vyeti vyao.

Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakiwa kwenye maafali hayo kushuhudia dada na kaka zao wakihitimu.
Hawa ni baadhi ya wahitimu wa elimu ya awali wanaojiandaa kuingia dasara la kwanza mwakani, ambao nao pia walitunukiwa vyeti.

Wahitimu wakiimba wimbo wa kuwaaga walimu na wanafunzi wenzao wakati wa maafali hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.