
Baadhi ya watendaji wa benki ya Exim wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki Kuu Beno Ndulu mara baada ya uzinduzi wa huduma ya Faida Kadi iliyozinduliwa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana usiku. Picha Zote na (SPM)

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Beno Ndulu (kushoto) na Mwenyekiti wa Benki ya Exim, Yogesh Manek, wakiwa na mfano wa Kadi ya Faida mara baada ya kuzindua rasmi huduma hiyo jana uasiku.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Beno Ndulu (kushoto) akikata utepe kuzindua huduma mpya ya Faida Kadi. Kulia ni Mwenyekiti wa Benki hiyo, Yogesh Manek.
No comments:
Post a Comment