Habari za Punde

MBINU ZA KIBIASHARA KATIKA MAISHA

Hapa watakuja weeeenyewe baada ya kusoma neno hilo, tena wacha nigeuzie mbele wasome poa
Mfanyabishara wa samaki wa kukaanga katika Kituo cha mabasi ya abiria cha Nangulukulu, ambaye hakuzweza kufahamika jina lake, 'fasta', akiwa na kabati lake la kuuzia samaki hao lenye maandishi yasomekayo kama 'Yote Njaa', hii pia yawezekana ikawa ni njia pekee inayomwezesha kuwanasa wateja wengi na hasa wale wasafiri wapitao njia hiyo ambao wengi wao huenda wakawa wakivutiwa na neno hilo pekee, vipi si imetulia hiyooooooo?????????? nawewe je?. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.