Habari za Punde

WAZUNGU WAFAKAMIA PWEZA KATIKATI YA JIJI DAR

Ebwana eeeh, kumbe huwa watamu namna hii subiri niongeze weweeeeeeeeRaia wa kigeni, wakijisevia samaki aina ya Pweza katikati ya mitaa ya posta jijini Dar es salaam leo, kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto, ebwana walivyokuwa wakiwafanyia kweli Pweza hao utazani jamaa wanaishi Tandale. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.