Habari za Punde

MISS TANZANIA AKABIDHIWA GARI LAKE DAR

Unaona unatumia hapa kufunga na kufungua gari lako kwa kutumia Rimot ok!.......Miss Tanzania Miriam Gerard (kushoto) akipata maelekezo ya jinsi ya kutumia funguo za gari lake mara bada ya kukabidhiwa gari hilo na Kampuni ya simu za mkononi Vodacom.

Nimeulaaaaaaaaaaaaaaaa, sasa la kwangu hiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMiss Tanzania 2009, Miriam Gerard, akiwa kwenye gari lake mara baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.