Habari za Punde

MISS UTALII IRINGA AWAFUNDA MISS UTALII KINONDONI

Miss Utalii Iringa 2007, Ester Kimtutu, akizungumza na washiriki wa shindano la Miss Utalii Kinondoniwakati wa mzoezi yao kwenye Ukumbi wa New Msasani Dar es Salaam leo mchana. Shindano hilo la kumsaka mrembo wa Utalii Kinondoni 2009, linatarajia kufanyika keshokutwa Novemba 27 kwenye Ukumbi wa New Msasani Club Dar es Salaam. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.