Habari za Punde

MISS UTALII KINONDONI KUPATIKANA HIVI KARIBUNI

Washiriki wa shindano la kumsaka Miss Utalii 2009, wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao ya pamoja kujiandaa na shindano hilo linalotarajia kufanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa New Msasani Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya warembo hao wakipozi kwa picha, wakati wa mazoezi yao, shindano hilo limedhaminiwa na Wadhamini kibao, ambapo miongoni mwa wadhamini hao ni Mkurugenzi wa Kampuni za Mamaa Sakina Trans na Mashujaa Pub, Sakina Maisha. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.