Habari za Punde

MAANDALIZI YA FIESTA ONE LOVE YAPAMBA MOTO DAR

Sufianimafoto akiweka saini kwenye gari lililoandaliwa maalum kwa shindano maalum 'Tiketi', ili kushuhudia Tamasha kubwa la Fiesta hivi karibuni.

Mwandishi wa habari wa gazeti la The African, Mwani Nyangasa, akiweka saini kwenye gari hilo. Kulia ni mtangazaji wa kipindi cha michezo wa Redio Clouds, Lwambano akishuhudia chezo.


Mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Tanzania daima, Khadija Kahalili, akiweka saini kwenye gari hilo.


Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Serengeti, Tedy Mapunda, akiweka saini kwe gari hilo. Kushoto ni Bahati wa Serengeti akishuhudia.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.