Habari za Punde

FM ACADEMIA KUTAMBULISHA VUTA NIKUVUTE MIKOA YA MBEYA NA IRINGA


Kiongozi wa bendi ya fm Academia, Nyoshi El-Saadat, akionyesha umahiri wake wa kucheza miondoko mipya ya bendi hiyo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu ziara ya bendi hiyo itakayofanyika Mbeya na Iringa kwa ajili ya kutambulisha alba yao mpya ya Vuta Nikuvute. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.