Habari za Punde

SOFAPAKA YAANZA VYEMA MICHUANO YA TUSKER DAR


Beki wa timu ya Sofa Paka ya Kenya, Kilonzo Tumba (kushoto) akichuana kuwania mpira na mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Omar Matuta, wakati wa mchezo wa michuano ya Tusker iliyoanza leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Sofapaka imeshinda 3-1.Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.