Mratibu wa Tamasha la muziki ‘Cultural Music Festival’, Rachel Dove, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Tamasha hilo linalotarajia kufanyika Kizimkazi mjini Zanzibar kuanzia Desemba 29-31 mwaka huu. Tamasha hilo litawajumuisha wasanii wanaotengeneza Sanaa kwa kutumia Takataka. Kulia ni mmoja kati ya wasanii hao, Kani kaze. Picha na (SPM)
BONDIA FRANK SHAGEMBE ATWAA MKANDA WA AFRIKA (WBO)
-
Bondia Frank Shagembe kutoka mkoani Mbeya ameandika historia mpya katika
medani ya ngumi nchini baada ya kutwaa mkanda wa Afrika wa WBO katika
pambano l...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment