Habari za Punde

HALI HALISI YA USAFIRI WA TRENI YA RELI YA KATI-KIGOMA

Baadhi ya wasafiri wanaoelekea Kigoma wakiwa wamerundikana ndani ya behewa moja huku wengine wakiwa wamesimama na mizigo yao na kutokana na mabehewa hayo kubeba abiria wengi kupita kiasi.
Cheki mlundikano huu eti TRL wanafanya nini na mabadiliko baada ya kuwa TRL yako wapi???????

Bora tufike Kasulu.............




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.