Habari za Punde

SERENGETI YAWADHAMINI WASTAAFU KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Meneja Uhusiano wa Kampuni ta Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (wapili kushoto)akizungumza na waanmdishi wa habari kabla ya safari ndefu ya Wazee Wastaafu wa Jeshi kuanza kupanda mlima Kilimanjaro, miongoni mwa wastaafu hao ni General George Waitara, watakaopanda mlima huo chini ya udhamini wa Kampuni ya Bia ya serengeti na kuweka Bendera kwenye Kilele cha mlima huo. Serengeti imeweza kuchangi jumla ya Sh. milioni 12. Picha kwa hisani ya Serengeti Bia

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.