Habari za Punde

*NI MAVAZI YAPI YANAFAA KATIKA NYUMBA ZA IBADA?

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ), Alex Malasusa, akiendesha Misa ya Sikukuu ya Krismasi katika Kanisa la Azania Front Dar es Salaam jana.

Hawa ni baadhi ya waumini wa dini ya kikristo, wakiingia katika Kanisa la Azania Front katika ibada ya Sikukuu ya Krismas jana, lakini angalia picha hii je ni wepi walio na mavazi yanayofaa kutinga katika nyumba hii ya ibada. Kushoto ni wanadada waliovalia utadhani wanakwenda disco katika lile jumba la naniliu Mbowe na kulia ni kina mama waliovalia nadhifu sina hakika kama walikuwa safari moja hawa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.