Habari za Punde

*FURAHA HAINA KIPIMO X-MAS NJEMA KWA VIONGOZI

Mchoro wa picha uliochorwa kwenye Ukuta na Msanii Ramadhan Best Mbezi Beach eneo la Darajani Dar es Salaam, ukimuonyesha Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa na baadhi ya Viongozi wa Serikali huku kila mmoja akionyesha furaha yake kwa kifaa akipendacho. Mchoraji wa mchoro huo hakuweza kueleza maana halisi ya mchoro huo zaidi ya kumtaka kila atakayeuona aumize kichwa kwa kufikiria. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.