Rais wa Marekani, Barack Obama ametoa siku moja kwa Vyombo vya Usalama vya nchini humo kutoa maelezo ya kina na yanayojitosheleza, kueleza jinsi raia wa Nigeria, Umar Farouk Abdulmutallab alivyojaribu kutaka kulipua ndege ya Marekani, alivyoruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo na njia alizopita bila kubugudhiwa na wanausalama. By http://www.bbcswahili.com/
BASATA YAWAPA MC NA MA-DJ MUDA WA MWISHO KUJISAJILI
-
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa agizo rasmi kwa Waongoza Sherehe,
Burudani na Matukio (MC) pamoja na Manju wa Muziki (DJ) nchini kote
kuha...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment