Habari za Punde

VISURA TANZANIA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA SERENGETI

Mwendesha Mitambo wa Kiwanda cha Bia Serengeti, Khalid Shaban (watatu kushoto) akiwaonyesha baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Kisura Tanzania, bomba linalotoa Bia kabla ya kufanyiwa matayarisho ya mwisho wakati warembo hao walipotembelea Kiwanda hicho leo mchana. Serengeti ni wadhamini wakuu wa shindano hilo linalotarajia kufanyika Desemba 11 mwaka huu. Picha Zote na (SPM)
Visura wakishangaa mashine inayofanya kazi ya kusaga na kuandaa vimelea.

Mwendesha Mitambo wa Kiwanda cha Bia Serengeti, Khalid Shaban (watatu kushoto) akiwaonyesha baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Kisura Tanzania, mtungi unaotumika kupitishia kinywaji hicho wakati kikiandaliwa, shindano hilo linalotarajia kufanyika Desemba 11 mwaka huu.

Visura hao wakiwa ndani ya kiwanda hicho katika ziara yao.

Visura hao wakionyeshwa ramani ya ndani ya kiwanda hicho mara baada ya kuingia kiwandani humo leo mchana wakati wa ziara yao.

Meneja Uhusiano wa Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda, akiwaelekeza jambo warembo wa Kisura kabla ya kuanza zira yao kiwandani hapo.



Teddy Mapunda akipozi na warembo wa Kisura kwa picha ya Kumbukumbu.

Mmoja wa kati ya warembo wanashiriki shindano hilo la Kisura Tanzania, Zahra Akonina, akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa ziara hiyo.

Huyu pia ni mmoja kati ya warembo hao, Gladys Morel, akifanya mahojiano na waandishi wa habari
Hawa pia ni baadhi ya washiriki hao wakipozi wakati wakisubiri kuanza kwa Ziara hiyo.

Hapa kila mmoja akiwa na fillings kivyake sijui kila mmoja wao alikuwa akihofia kuteuliwa kwa ajili ya kufanya mahojiano na waandishi wa habari? kuonge kazi bwana weeeeee!

Huyu si naninliu bali pia ni mmoja kati ya washiriki wa Kisura Tanzania kiwa katika pozi la Kinyamwezi babake.

Huyu si mwigizaji filamu la hasha bali pia ni mshiriki wa Kisura Tanzania, akiwa katika fillings. ni kama anaigiza vileeeeee.














No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.