Habari za Punde

*BURUDANI ZA MWISHO WA WIKI JIJINI DAR

Kumbe si kuimba tu, hadi hili linaniliu analiweza!......Mwimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Kalala Junior, akipiga gitaa la besi wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye ukumbi wa Mango Garden Kinondoni. Picha Zote na (SPM)

Mnenguaji wa Twanga Pepeta, Queen Suzy , akisebeneka na miondoko ya bendi yao.

Wanenguaji wa Twanga kazini......

Rapa na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Khalid Chokoraa (kushoto) akighani rap zake kuwachezesha wanenguaji wa bendi hiyo, wakati wa onyesho lao lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mango Garden Kinondoni.

"Wacha niuze sura kwa mara nyingine tena babake, jamaa limenikumbuka tulivyokutana nalo Malawi bwana Duh!".....Mhariri wa Gazeti la Champion, Saleh Ally, akipiga picha ya kumbukumbu na Mchezaji wa Timu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba, kwenye Hoteli ya Kempisk Dar es Salaam




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.