Habari za Punde

*DAR RACING ACROBATIC WAJIFUA KWA KASI YA AJABU














Huyu si mwingine ni Sufianimafoto naye akiwa miongoni mwa Dar Racing wakipasha katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.














Shomari akiruka Tuta kubwa.......














Ludan Volvo, akiwa hewani wakati akiruka tuta kwa mbwembwe huku akiwa ameachia mkono mmoja kwenye mazoezi ya pamoja ya kundi la 'Dar Racing Acrobatic', yanayofanyika kila jumapili kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam.














Ebwana huyu bado ni Ludan Volvo, akionyesha umahiri wake wa kucheza na pikipiki wakati wa maonyesho hayo ya wazi.














Huyu Dogo ni noma mazee kwa mchezo huu wa kuchezea Baiskeli kwa kila staili ebwana kwa ujumla anaweza kinoma......














Ludan Volvo Hewani.........














Katika Mchezo huu pia kuna raha na karahaa, huyu ni Said Welawela, akiinuka baada ya kurushwa na pikipiki alipopita kwenye Tuta kubwa.














Hapa akijaribu kuinua pikipiki, mara baada ya kuanguka.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.