Habari za Punde

*JK ATUNUKIWA TUZO MAALUM YA KUPAMBANA NA MARALIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akipokea tuzo maalum ya ubingwa wa mapambano dhidi ya malaria kutoka kwa Mwenyekiti wa Malaria Center ya Marekani, Peter Chernin, wakati mwenyekiti huyo na alipomtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo mchana.

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Malaria Center ya nchini Marekani, Peter Chernin (katikati) na Mkurugenzi wa kituo hicho Balozi Mark Green ambaye aliwahi kuwa balozi wa Marekani hapa nchini baada ya mgeni huyo kumkabidhi Rais tuzo maalum ya ubingwa katika kupambana na malaria.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.