Habari za Punde

*MAMIA WAMLILIA KAWAWA DAR, NI NURU ILIYOZIMIKA

"Kwaheri Simba wa Vita daima tutakukumbuka kwa ushujaa na ujasili wako"..... Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa, JWTZ, wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Rashid Kawawa, wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana. Picha na (SPM)

Mamia ya wakazi wa jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye foleni ya kuingia kutoa heshima za mwisho kwa Simba wa Vita.

Ni baadhi ya watu waliohudhulia shughuli za kuaga mwili wa marehemu wakilia kwa machungu.

Mama Maria Nyerere (katikati) Mama Tunu Pinda (kushoto) wakiwa kwenye shughuli hiyo ya msiba.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.