Duh! sijui hawa machinga leo wamekimbilia wapi hata hawaonekani???
Askari Mgambo wa Manispaa ya Ilala, wakiwa wamekalia haya mananiliu yao,... eti marungu sijui hawasiki maumivu hawaaaaaa na sijui ni staili gani hii ya kukalia haya amananiliu tena kwa kusimamisha, eti wanakula mingo ya kuwatokea Machinga karibu kabisa na Soko la Mchikichini Ilala Dar es Salaam, kama walivyonaswa na Sufianimafoto.
SIMBA SC YAWAFUNGA MIDOMO MABINTI WA YANGA, YAWACHAPA 2-0
-
TIMU ya Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga
Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara leo Uwanja wa
Azam Comp...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment