Habari za Punde

*WINGI WA PIKIPIKI NCHINI INDIA, MADEREVA WAHAHA KUSAKA HELMET


Pichani ni mmoja wa dereva wa pikipiki nchini india akiwa amevaa sufulia kichwani kuashiria upungufu wa Helmet. Madereva wengi wa pikipiki nchini humo wamekuwa wakifanya vituko kama hivi kama unavyoiona picha hii jamaa akiwa na helmet ya sufulia akiakata mitaa ya nchini humo hivi karibuni. Mzee hii ni noma na Dar inaweza kutokea mambo kama haya kutokana na ongezeko la Pikipiki za kichina zinzofanya biashara ya kubeba abiria madereva wake wanaweza kuiga hii ili kuwakwepa wale Jamaa wanaoitwa Tigo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.