Habari za Punde

*WIZARA YA AFYA YAZINDUA KAMPENI YA 'MALARIA HAIKUBALIKI'

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Prof.David Mwakyusa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ‘Malaria Haikubaliki’. Tamasha kubwa la uzinduzi huo linatarajia kufanyika February 13 kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni, ambapo mgeni rasmi anatarajia kuwa Rais Jakaya Kikwete.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa. David Mwakyusa, akizindua Kampeni ya ‘Malaria Haikubaliki’, iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam, leo mchana.
Baadhi ya wadau wa Afya wakiwa kwenye uzinduzi huo wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Afya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.