Habari za Punde

*MSHKAJI NANILIU AJIANDAA KURUDI KURIVENJI WALIOMSULUBU

"Mie situmii mijeredi kama wao subilini, ntarudi kwa staili hii, yes Kama Van Damme"!!!

Eti alikufa kwa ajili yetu (wakristo) na sasa akirudi atarudi kwa staili hii, eti hapa ni kama alivyokutwa akifanya mazoezi ya kutumia silaha, sasa sijui nasie itabidi tufe kwa ajili yake????, mzee hii ni noma nahisi akirudi atakuwa na hasira lukuki, hivyo nadhani atawachakaza kinoma Mayahudi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.