Wafanyakazi jiji waliojitambulisha kwa jina mojamoja, Pwagu (aliye ndani ya gari) na Tall, wakipakia mwili wa mtu ambaye hakuweza kufahamika, uliokutwa katika makaburi ya Sinza leo mchana. Imedaiwa mtu huyo aligundulika baada ya kusambaa kwa harufu iliyoanza juzi na kugunduliwa na watu waliofika maburini hapo kwa ajili ya kuzika na kusikia harufu iliyowashitua na kuanza kuzunguka makaburini humo na kuukuta mwili huo ukiwa tayari umeshavimba ukianza kuharibika huku ukitoa harufu, ambapo walitoa taarifa kwa Mkuu wa kituo cha Polisi Mabatini aliyefika eneo la Tukio na kushuhudia ukiondolewa na wafanyakazi hao wa Jiji.
DC SUMAYE AIPONGEZA TFS KUANDAA MAGAMBA WALKATHON
-
Na Oscar Assenga, LUSHOTO.
MKUU wa wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Zephania Sumaye ameipongeza Hifadhi
ya Mazingira Asili ya Magamba wilayani Lushoto ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment