Habari za Punde

*KAWAMBWA ASAINI MKATABA WA USAFIRI WA ANGA HUKO JORDAN


Waziri wa Miundombinu, Shukuru Kawambwa (kushoto) akibadilishana mkataba wa ushirikiano wa usafiri wa anga na Kamishina wa Maendeleo ya Kiuchumi na Uwekezaji wa Jordan, Dr. Salim Al Moghrabi kwa niaba ya Tanzania na Jordan katika siku ya pili ya ziara ya Rais Kikwete nchini Jordan. Utiaji saini huo ulifanyika katika mji wa Aqaba uliopo kando kando ya bahari ya sham juzi. Picha na John Lukuwi wa MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.