Habari za Punde

*BI KIDUDE KUMTOA JASHO BABU AYOUB DAR


































Bi Kidude akipozi na Babu Ayoub, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu onyesho lao la kupambana kwa sauti 'Mtanange wa Masauti', litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni siku ya jumapili, ambapo pia onyesho hilo litasindikizwa na kundi la Taarab la Jahazi.

"We unaiiiiiimbaaaaaa au unaigizhaaaaaa, wacha kuntania mieeeee"......













Msanii Mkongwe wa Muziki wa Mwambao Afrika Mashariki, Bi Kidude, mwenye umri wa miaka 113, akimtania msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye kwa sasa anaimba muziki wa Taarab na kuigiza sauti za wasanii kadhaa ikiwamo ya Bi Kidude, wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mpambano wa wasanii hao ‘Mtanange wa Masauti’ utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Travetine Magomeni siku ya jumapili.




Bi Kidude akiimba wakati wa mkutano huo. Kulia ni mratibu wa mpambano huo, Mkurugenzi wa Point Promotions, John Momadi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.