Habari za Punde

*LIGI YA KICK BOXER KUANZA KESHO DAR















Mwanadada mahiri katika mchezo wa Kick Boxer, Pendo Njau, akipozi wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Ligi ya mchezo huo inayotarajia kuanza kesho kwenye Ukumbi wa DDC Kondoa Magomeni.













Bingwa wa mchezo huo Japhet Kaseba, akionyesha mfano na Pendo Njau wa jinsi ya kupata point katika mchezo huo, wakati wa zoezi la kupimwa uzito kwa wachezaji watakaoshiriki katika Ligi hiyo inayoanza kesho.



















Mmoja wa wachezaji hao akipima uzito.




Baadhi ya mabondia watakaochuna kuwania zawadi ya Pikipiki katika Ligi ya Kick Boxing, itakayoanza jijini Dar es Salaam leo, wakiwa katika picha ya pamoja wakati walipofika kupima uzito mbele ya waandishi wa habari jana. Ligi hiyo inaanza kesho katika ukumbi wa DDC Kondoa Magomeni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.