Habari za Punde

*BREAKING NEWS, MZEE WA MANYOYA ALIYE KUWA GUMZO DAR AIBUKIA DAR FUR





















Huyu ndiye anayezaniwa kuwa ndiye Mzee wa mkono wa manyoya, aliyetikisa jiji la Dar es Salaam kwa siku kadhaa na kuacha gumzo hadi kusababisha vurugu zilizojitokeza hivi karibuni baina ya walemavu, ombaomba na wasanii wa kundi la Origino Komedi na hatimaye mmoja wa kundi hilo Joti kupata ajali kwa kugongwa na gari wakati akiwakimbia walemavu hao waliokuwa wakipinga kuwapo kwa tukio hilo katika eneo wanalofanyia shughuli yao ya kila siku ya kuomba msaada kwa wapita njia, wakati wasanii hao wakiigiza tukio hilo katika daraja la Salender.



















Mzee wa Manyoya akiwa katika pozi tofauti tofauti kama alivyonaswa na wapiga picha wa Sufianimafoto huko Darfur.




















Hili ndilo pozi alilokuja nalo katika Daraja la salender, wakati akisubiri kuomba msaada ili kupata anachokihitaji.




















Huyu ni miongoni mwa familia ya Mzee wa manyoya, akipozi.



















Nini Mkoni wa manyoya huu ni mwili wa Manyoya, huyu ni mtoto wa mzee wa manyoya, akipita kwa madaha katika barabara ya Sa..................., kaeni chonjo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.